Listen to this AUDIO | Bando MC ft Vanillah – Sikulaumu | featured on this platform. Download Mp3
AUDIO | Bando MC ft Vanillah – Sikulaumu | Download Mp3
DOWNLOAD AUDIO
BANDO FT VANILLAH – SIKULAUMU LYRICS
VERSE 1 (BANDO)
Hi!! Hi !! hi !! hudah Uhali gani we msaliti haufai yuda Nimeona leo nikusabahi nai nai Nilikuongaga mpaka saa ila bado ukanipotezea muda Aah penzi lako kama lift ukanishushia njiani Ukuamini kuna siku mziki utanipa ramani Ukapata mchizi asie na dhiki na akakuweka ndani Hivi hukujua nyumba ya ridhiki mpangaji manani Ilinitouch sana na iliniumiza sana Ilinifanya nikakesha usiku na mchana Haukuwa fungu langu so sikuweza kung’ang’ana Kisichoridhiki akiliki hata kikiungwa na nyanya Vipi mchizi yupo mbona sikuizi hampostiani tena Makopa kopa instagram hamcomentiani tena Mtaani hatuoni mkiongozana tena Staki amini kama nayeye mmeachana tena
CHORUS (VANILLAH )
Isingekuwa ustahimilivu uenda duniani leo nisingekuwepo Ulinipa maumivu niliamini siwezi kupona leo wala kesho Namshukuru MUNGU Kwa kunifutia kumbukumbu zako maana niliishi namaumivu mwili ukawa kijivu nikawa nikichekesho sikulaumu weweee !! Sikuombei magumu wewe !! MUNGU akurehemu wewe !! Uliyoyafanya kwangu yasijirudie kwakoooo
Verce 2
Usidhani nakuchukia me sikuchukii Hizi salamu tu nakutumia hata mapenzi yako me sikumbukii Uliacha mbachao kwa msala upitao kunikalia vikao haisaidii Nasikia ukinionaga kwa TV unatamani hurudi ila me ndo sifikirii Mshedede sikuizi navichenchede mambo yapo yedede bata kila dede Mafekecheee debe daily tukipredede siulisema sina future maisha nimeya made dedee Najua unahabari sikuizi mziki ushaanza kunilipa Nashukuru MUNGU bwana kila kona nasikika Kote nafika kila dakika Nakwenye show siendi na diaba nakweaga mapipa
BRIDGE (VANILLAH)
Jangwani uliniacha mpenzi ukaenda mbali nami ukafata wenye maji mengi Angani kuna nini mpenzi ulichagua maisha ya ndege kuruka kuspendi Utu utu niliwekeza kwako utu, utuuu utupu wako uliwaonesha wenye pesa wakaenda na weweee
CHORUS (VANNILLAH )
Isingekuwa ustahimilivu uenda duniani leo nisingekuwepo Ulinipa maumivu niliamini siwezi kupona leo wala kesho Namshukuru MUNGU Kwa kunifutia kumbukumbu zako maana niliishi namaumivu mwili ukawa kijivu nikawa nikichekesho sikulaumu weweee !! Sikuombei magumu wewe !! MUNGU akurehemu wewe !! Uliyoyafanya kwangu yasijirudie kwakoooo