Explore the latest music releases and promotions on Dj Kigogo Music Platform! From exclusive audio and video downloads to special offers, find it all here.
Discover the newest tracks and stay updated with the latest music trends.
Ushawahi - Mejja
[Intro]
Okwonko
Producer Chrome
Yo
[Verse: 1]
Ushawahi iiba pesa ukajifanya si wewe?
Ushapigia Ex ukishikwa na nyege?
Ushaamka asubuhi umesetiwa kinembe?
Ushawahi penda dem ju amebeba masgwembe?
Ushawahi taka kuuliza alafu tu ukanyamaza
Sahi hushiki kitu unaka kama fala
Ushawahi jipata WhatsApp group haujui?
Eti "contribution?" Mi sikujui
Okwonko
Producer Chrome
Yo
[Verse: 1]
Ushawahi iiba pesa ukajifanya si wewe?
Ushapigia Ex ukishikwa na nyege?
Ushaamka asubuhi umesetiwa kinembe?
Ushawahi penda dem ju amebeba masgwembe?
Ushawahi taka kuuliza alafu tu ukanyamaza
Sahi hushiki kitu unaka kama fala
Ushawahi jipata WhatsApp group haujui?
Eti "contribution?" Mi sikujui
[Hook]
Ako katabia ukiwa solo ndio yako
Na kale katabia huwa unatuonyesha ni yakutufunga macho
Ushai
Ushai shai
Ushawahi?
Ushai
Ushai
Ushai shai
Ushawahi?
Ako katabia ukiwa solo ndio yako
Na kale katabia huwa unatuonyesha ni yakutufunga macho
Ushai
Ushai shai
Ushawahi?
Ushai
Ushai
Ushai shai
Ushawahi?
[Verse: 2]
Ushaipata mtu anakunyandua abnormal?
Na tangu akunyandue hujawahi kuwa normal
Na ukitaka kumtoka ushakua slave
Kila saa unafikiria tu sekete
Ulitoa juice ndani ya fridge
Hukutumia glass ukakunywa kwa pako
Then the same juice ukarudisha kwa fridge
Acha tabia mbaya iyo ni tabia yako
Ushawahi gotea msee na umejigusa pua?
Change iyo tabia ata ka hatutajui
Wangapi wamenyora na hawajaoga mkono?
Najua mnajijua inueni mikono
Ngoja, nmemaliza verse
[Hook]
Ako katabia ukiwa solo ndio yako
Na kale katabia huwa unatuonyesha ni yakutufunga macho
Ushai
Ushai shai
Ushawahi?
Ushai
Ushai
Ushai shai
Ushawahi?
Ushaipata mtu anakunyandua abnormal?
Na tangu akunyandue hujawahi kuwa normal
Na ukitaka kumtoka ushakua slave
Kila saa unafikiria tu sekete
Ulitoa juice ndani ya fridge
Hukutumia glass ukakunywa kwa pako
Then the same juice ukarudisha kwa fridge
Acha tabia mbaya iyo ni tabia yako
Ushawahi gotea msee na umejigusa pua?
Change iyo tabia ata ka hatutajui
Wangapi wamenyora na hawajaoga mkono?
Najua mnajijua inueni mikono
Ngoja, nmemaliza verse
[Hook]
Ako katabia ukiwa solo ndio yako
Na kale katabia huwa unatuonyesha ni yakutufunga macho
Ushai
Ushai shai
Ushawahi?
Ushai
Ushai
Ushai shai
Ushawahi?
[Outro]
Okwonko
Maze chromе maze
Huu mumea maze bana
Aaaih
Mimеa tunapulula
Zimetushika tunapulula
Tuko marima tunapulula
Zimeriet tunapululaa
Mimea tunapulula
Zikishuka tunapulula
Tuko marima tunapulula
Zime-zime-pulula
Okwonko
Maze chromе maze
Huu mumea maze bana
Aaaih
Mimеa tunapulula
Zimetushika tunapulula
Tuko marima tunapulula
Zimeriet tunapululaa
Mimea tunapulula
Zikishuka tunapulula
Tuko marima tunapulula
Zime-zime-pulula